ad

ad

KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA SAFARI POOL AENDELEA NA MCHUJO WA WACHEZAJI KAMBINI MOROGORO KUTOKA 15 HADI 8.



Kocha wa Timu ya Taifa, Denis Lungu (kulia) akiwaelekeza jambo wachezaji wa timu ya Taifa wa mchezo wa Pool (Safari National Pool team) wakati wa mazoezi katika kambi inayoendelea mkoani Morogoro ya mchujo wa kupata wachezaji 8 kati ya 15,watakaowakilisha Tanzania katika fainali za Afrika ziazotarajiwa kufanyika nchini Malawi hivi karibuni.

 Kocha,Denis akielekeza jamabo.

Kikosi cha timu ya Taifa na baadhi ya viongozi.


Mchezaji, Solomoni Eliasi kutoka mkoani Mbeya akifanya mazoezi.



Mchezaji, Mussa Mkwega kutoka mkoani Morogoro akifanya mazoezi.



Mchezaji, Godfrey Swai kutoka mkoa wa kimichezo wa Kinondoni akifanya mazoezi.


Mchezaji, Six Timbula kutoka mkoa Morogoro akifanya mazoezi.



Mchezaji, Baraka Jackson kutoka mkoani Manyala akifanya mazoezi.


Mchezaji, Patrick Nyangusi kutoka mkoa wa kimichezo wa Kinondoni akifanya mazoezi.



Mchezaji, Mohamed Idd kutoka mkoani Dodoma akifanya mazoezi.



Mchezaji, Innocent Sami kutoka mkoa wa kimichezo wa Temeke akifanya mazoezi.



Mchezaji, Omary Akida kutoka mkoa wa kimichezo wa Kinondoni akifanya mazoezi.



Mchezaji, Fred Steven (Dogo Janja) kutoka mkoa wa kimichezo wa Kinondoni akifanya mazoezi.



Mchezaji, Festo Yohana(Tonya Boy) kutoka mkoa wa kimichezo wa Ilala akifanya mazoezi.



Mchezaji, Abdalah Hussein(Dulawayo) kutoka mkoa mkoa wa kimichezo wa Temeke akifanya mazoezi.



Mchezaji, Felix Athanas  kutoka mkoa wa kimichezo wa Kinondoni akifanya mazoezi.



Mchezaji, Said Mohamed kutoka mkoani Iringa akifanya mazoezi.



Mchezaji, Charles Venance kutoka mkoa wa kimichezo wa Temeke akifanya mazoezi.

No comments