Mkurugenzi Mkuu wa SIDO,Mike Laizer akinadi moja ya kif cha kufyatulia matofali kilichotengenezwa na Kampuni ya TEMSO mara baada ya uzinduzi rasmi jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi akinadi mbele ya Wageni waalikwaBaadhi wa vifaa vilivyotengenezwa na kampuni ya TEMSO.Meneja wa Mkoa wa SIDO, Hamwel Meena akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi.Wafanyakzi a Wageni walikwa wakisikiliza .Mkurugenzi Mkuu wa SIDO,akizungumzaMkurugenzi wa Kampuni ya TEMSO, Raymond Tenga akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi.Mkurugenzi Mkuu akifungua mlango wa kampuni kuashiria ufunguzi rasmi wa kampuni ya TEMSO.Mkurugenzi akisaini kitabu cha wageni ofsini TEMSOMkurugenzi akiangalia kazi zinazofanywa ndani ya Kampuni.Mkurugenzi (kulia) akikata utepe kuashilia ufunguzi.Akipata maelekezo mbalimbali kutoka kwa mkurugenzi wa TMSO.
Post a Comment