MAZOEZI MAKALI YANAENDELEA KATIKA KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM KARIAKOO
Bondia Hassani Kiwale kushoto akioneshana umwamba wa
kutupiana makonde na Faraji Sayuni wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika
katika kambi ya Super DCoach Uhuru GYM Kariakoo Dar es salaam mabonda
hawo watapanda uringoni Agost 8 kuwakabili wapinzani wao katika ukumbi
wa kobelo pub manzese Dar Es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Hassani Kiwale kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Faraji Sayuni wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika katika kambi ya Super DCoach Uhuru GYM Kariakoo Dar es salaam mabonda hawo watapanda uringoni Agost 8 kuwakabili wapinzani wao katika ukumbi wa kobelo pub manzese Dar Es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Post a Comment