UNITED BANK OF AFRICA WAKIPASHA KAMA UTARATIBU WAO WA KILA MWEZI.
Wafanyakazi wa Benki ya UBA (United
Bank for Africa), wakishindana kuvuta kamba wakati wa mazoezi waliofanya jijini
Dar es Salaam jana kutokana na utalatibu waliojiwekea kwakila baada ya miezi mitatu hufanya mazoezi pamoja na
wateja wao.
Mwalimu
wa mazoezi ya viungo kutoka Chama cha walimu wa mazoezi hayo, FIAT, Ray
Mwamakula (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for
Africa), kufanya mazoezi Dar es
Salaam
Post a Comment