
Wakazi wa jijini Dar es Salaam wakipokezana mwili wa marehemu Generali Juma Mkambi wakati wa mazishi yaliyofanyika Kisutu Dar es Salaam

Rais wa TFF,Leodga Tenga akizungumza na waandishi wa habari

Rais Tennga (katikati) na Katibu Mkuu wa timu ya Yanga , Lawrence Mwalusako Kulia

Katibu wa chama cha Pool Taifa , Amos Kafwinga akizungumza na wandishi wa habari mara baada ya kurejea jijini kutoka Ufaransa kwenye mashindano ya Pool ya Dunia
Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi (kulia) akiteta jambo na Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM na Mjumbe wa Baraza la Wazazi, Rajab Mwilima, wakati wa hafla ya kuapishwa Waziri mkuu iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu ya Chamwino mjini Dodoma hivi karibuni
Post a Comment