Katibu Mkuu wa Viwanda na Biashara, Joyce Mapunjo (kulia) akipokea zawadikutoka kwa Meneja wa Programu za Wanawake wa Benki ya Exim, Felister Simba wakati wa Tamasha la Biashara la Wanawake Wajasiliamali lililoanza jana Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Viwanda na Biashara, Joyce Mapunjo (kushoto) akizungumza na waandioshi wa habari kuhusu Ubora wa Benki yaExim inavyomjali Mwanamkeikiwa ni mmoja wa wateja wa Benki hiyo wakati wa wa Tamasha la Biashara la Wanawake Wajasiliamali lililoanza jana Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.Kulia ni Meneja wa Programu za Wanawake wa Benki ya Exim, Felister Simba
Post a Comment