YANGA YAICHAPA PRISONS YA MBEYA 2-1 UWANJA WA TAIFA.
Wachezaji
wa timu ya Yanga , Gelson Santana- Jaja (kulia) akimpongeza Simon Msuva baada ya kuipatia timu ya Yanga bao la pili na ushindi dhidi ya Prisons ya Mbeya wakati wa meche ya Ligi Kuu ya Vodacom
iliyochezwa Uwanja wa Taiifa Dar es Salaam.Yanga ilishinda 2-1
Mshambuliaji
wa timu ya Yanga, Andrey Cotinho akitamba mara baada ya kupatia timu yake bao
la kwanza dhidi ya Prisons ya Mbeya
wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom iliyochezwa Uwanja wa Taifa Dar es
Salaam.Yanga ilishinda 2-1.
Jaja akijaribu kumtoka beki wa Prison
Kkiungo Haruna Niyonzima akiwatoka mabeki wa Prison ya Mbeya
Haruna akiwatoka
Mabeki wakijitahidi kumdhibiti
Niyonzima anakwenda
Niyonzimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Msuva akishangilia boa la pili alilofunga
Akishangilia
Jaja Jaja
Jaja anapiga cross
Jaja anaangushwa chini
Mwisho wa matokeo
Msuva akijaribu kumtoka beki
Post a Comment