Parokia ya Kitunda yamkaribisha Baba Askofu Msaidizi Jimbo Kuu la DSM Titus Mdoe
Makamu Mwenyekti wa Kitunda,Bi. Nancy Peter akiongoza akinamama kumshika askofu mkono wa kumkaribisha Parokia ya Kitunda kutoa asimikwe kuwa Askofu Msaidizi wa Jimbo la Dar es Salaam, Titus Mdoe. Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mhashamu,Titus Mdoe (katikati) na Paroko wa Parokia ya Kitunda, James Mweyunge (kuhoto) wakipewa taarifa ya maendeleo ya ujenzi wa Kanisa litakalogharimu Sh. bil. 1.6 yaliyokuwa yakitolewa na Mwenyekiti wa Ujenzi, Bw. Simon Dorongo.Nyuma ya Paroko ni Mweyekiti wa Walei Parokia ya Kitunda, Dkt.Donald Antony Mwiturubani (Picha na Peter Mwenda).
Post a Comment