KANDORO AIMWAGIA SIFA TBL JIJINI MBEYA
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ,Abbas Kandoro akizungumza na wakazi
jiji la Mbeya wakati wa kukabidhi ruzuku zinazotolewa na Kampuni ya Bia nchini
kupitia Bia ya Safari Lager katika program yake ya Safari Wezeshwa katika
Uwanja wa CCM Ilomba Mkoani Mbeya mwishoni mwa wiki.Jumla ya Wajasiliamali 9 wa
kanda ya nyanda za juu Kusini walikabidhiwa vitendea kazi mbalimbali.Kulia ni
Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Mkuu
wa Mkoa wa Mbeya ,Abbas Kandoro(wa pili kushoto) akimkabidhi Copressor
mjasiliamali,Anyelwsye Kayange wakati wa
kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali waliufuzu kwenye program ya Safari Wezeshwa
kwa nyanda za juu Kusini iliyofanyika
katika Uwanja wa CCM Ilomba Mkoani Mbeya mwishoni mwa wiki.Jumla ya Wajasiliamali
9 wa kandahiyo walikabidhiwa vitendea kazi
mbalimbali.Kushoto ni Mkurugenzi wa jiji la Mbeya, Mussa
Zungiza na Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ,Abbas Kandoro(kulia) akimkabidhi
Jokovu(Fridge)mjasiliamali,Vumilia Mtweve wakati wa kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali
waliufuzu kwenye program ya Safari Wezeshwa kwa nyanda za juu Kusini iliyofanyika katika Uwanja wa CCM Ilomba
Mkoani Mbeya mwishoni mwa wiki.Jumla ya Wajasiliamali 9 wa kandahiyo walikabidhiwa
vitendea kazi mbalimbali.
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ,Abbas Kandoro akicheza mchezo wa Pool
table wakati wa kukabidhi ruzuku zinazotolewa na Kampuni ya Bia nchini kupitia
Bia ya Safari Lager katika program yake ya Safari Wezeshwa katika Uwanja wa CCM
Ilomba Mkoani Mbeya mwishoni mwa wiki.Jumla ya Wajasiliamali 9 wa kanda ya
nyanda za juu Kusini walikabidhiwa vitendea kazi mbalimbali,ikiwemo meza hiyo
ya mjasiliamali, Vumilia Mtweve(hayupo pichani).
Wajasiliamali wakimsubili Mkuu wa Mkoa,Abbas Kandoro awakabidhi ruzuku zao.
Picha ya pamoja ya Mkuu wa Mkoa,Abbas Kandoro na Wajasiliamali |
Post a Comment