WANAFUNZI WA TEOFELO KISANJI(TEKU) JIJINI MBEYA WAGOMA WAKISHINIKIZWA WALIPWE PESA ZAO ZA RESEARCH ZAIDI YA MIL.100 LEO..
Wanafunzi wa Chuo kikuu cha TEKU wakiwa wanajikisanya kusikia uongozi wa chuo uatoa Tamko gani, huku wakipiga kelele
Baadhi ya wanavyuo wakiwatimua wanafunzi wenzao walio nje na kuwambia kamahawawezi bora warejee makwao
Wakati Vice Chancellor wa TEKU akionge nyuma Dr. Tuli Kazimoto huku nyuma waandishi wa Habari walikuwa wakikatazwa wasichukue habari
Depute Vice Chancellor Academic affairs akiwa katika kikao kifupi na wanafunzi nje ya ofisi
Hili ndilo Tamko Lililo leta utata kwa wanachuo hao wanadai pesa zao za Research
Wanafunzi wa Chuo cha TEKU waakilikataa Tamko hilo
Baadhi ya Mabango waliyo kuwa wameyaandika
Vice Chancellor wa TEKU Dr. Tuli Kazimoto akiongea na wanachuo wa TEKU na kuwasihi wawe wapole wakati swala lao linafanyiwa kazi
Mwanafunzi huyo ambaye jina lake halikutambulika Mara Moja alichafua Hewa Baada ya Kuonekana anatetea Tamko la Utawala
Mmoja wa wanachuo wa TEKU akieleza kwa sababu gani wao wanataka pesa hizo
Vice Chancellor wa TEKU Dr. Tuli Kazimoto akitakla weka Tamko ambalo baadae lilichanwa na wanafunzi hao na kusema ni upuuzi kuwekewa agizo hilo, na kuendelea kudai pesa zao .
Post a Comment