MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA MKUTANO WA 32 WA WADAU WA POSTA KWA NCHI ZA AFRIKA, JIJINI ARUSHA LEO
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifungua Mkutano wa 32 wa Wadau wa Posta kwa Nchi za Afrika, ulioanza
jijini Arusha leo, Mkutano huo umehudhuriwa na wadau wa Posta kutoka
nchi za Afrika.

akiongozana na baadhi ya Viongozi, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na
Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa (kushoto) Katibu Mkuu wa Shirikisho la
Posta kwa Nchi za Afrika (PUPA) Younouss Djibrine (kulia) na Prof. John
Nkoma, Mkurugenzi wa Mawasiliano Tanzania (wa pili kulia), wakati
akiwasili kwenye Ukumbi wa AICC jijini Arusha leo kwa ajili ya kufungua
Mkutano wa 32 wa Wadau wa Posta kwa Nchi za Afrika, ulioanza jijini
Arusha leo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza jambo na Katibu Mkuu wa Shirikisho la Posta kwa Nchi za
Afrika (PUPA) Younouss Djibrine, wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa 32 wa
Wadau wa Posta kwa Nchi za Afrika, ulioanza jijini Arusha leo. Mkutano
huo umehudhuriwa na wadau wa Posta kutoka nchi za Afrika.
Baadhi
ya washiriki wa mkutano huo wakimsikiliza Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakati akifungua rasmi
mkutano huo leo kwenye Ukumbi wa AICC, jijini Arusha.

Kikundi cha Kwaya cha Jijini Arusha kikitoa burudani.
Waziri
wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Prof. Makame Mbarawa,
akizungumza machache kabla ya kumkaribisha Mhe. Makamu wa Rais kufungua
mkutano huo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki baada ya kufungua

Post a Comment