PAMBANO LA HALIMA MDEE NA JACQUELINE WOLPER HAKUNA MBABE
.
Mbunge
wa Kawe Halima Mdee (kushoto) akichana na Msanii wa Bongo Movie,
Jacqueline Wolper, wakati wa Tamasha maalum la Usiku wa Matumaini,
lililofanyika jana kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Katika
pambano hilo Mabondia hao walitooka sare kwa pointi.
Bondia Halima Mdee akiingia kwa mbwembwe.
Wolper akipanda ulingoni kwa mbwembwe.
Post a Comment