RAIS KIBAKI AHITIMISHA ZIARA YAKE YA KISERIKALI YA SIKU MBILI NCHINI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais
Emilio Mwai Kibaki wa Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya
Kiserikali nchini, wakisiliza taarifa ya pamoja ikisomwa na Waziri wa Mambo ya
Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais
Emilio Mwai Kibaki wa Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya
Kiserikali nchini wakisimama kupokea heshima wakati nyimbo za taifa zikipigwa
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza mgeni wake Rais Emilio Mwai Kibaki wa
Kenya anayehitimisha leo Februari 21, 2013 ziara yake ya Kiserikali nchini katika uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam.

Post a Comment