BALOZI SEFUE AKUTANA NA MKUU WA PEMANDU TOKA MALAYSIA DKT IDRIS JALA

Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akiongea na Dkt Idris Jala wa kitengo cha
usimamizi na utekelezaji kiitwacho PEMANDU (Performance Management and Delivery
Unit) cha Malaysia na ujumbe wake ofisini kwake jijini Dar es salaam leo
Februari 21, 2013. Katikati ni Dkt Philip Mpango, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango.

Post a Comment