RAIS WA KENYA AZINDUA BARABARA YA MWAI KIBAKI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

: Rais Mwai Kibaki wa Kenya akikata utepe, akishuhudiwa na mwenyeji wake
Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli na Meya wa
Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki
linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya
barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo
Madiwani wa Kinondoni
Bendi ya Vijana Jazz ikitumbuiza wakati wa uzinduzi rasmi jina la
Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya jiba la barabara ya Old Bagamoyo
leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na Rashid Kawawa na iliyokuwa Old
Bagamoyo
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mgeni wake Rais Mwai Kibaki wa Kenya
wakiongozwa na Meya wa Kinondoni Mstahiki Yusuph Mwenda kutembea hatua chache
kabla ya kuzindua rasmi jina la Barabara ya Mwai Kibaki linalochukua nafasi ya
jiba la barabara ya Old Bagamoyo leo kwenye makutano ya barabara ya Bagamoyo na
Rashid Kawawa na iliyokuwa Old Bagamoyo leo
Post a Comment