Washiriki wa shindano la Guinness Football Challenge
wakiingia Uwanja wa ndege wa
Julius Nyerere kuelekea nchini Afrika ya Kusini kwa ajili ya kushiriki shindano
la Guinness Football Challenge litalofanyika katika jiji la Johannesburg kwa
muda wa siku kumi.
Post a Comment