MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AENDESHA KIKAO CHA MUUNGANO MJINI ZANZIBAR LEO
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Makamu
wa pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Ali Idd, na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais,
Samiah Suluhu, mara baada ya kumalizika kwa kikao cha Muungano, kilichofanyika
leo Januari 14, 2013 katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar.
Baadhi ya Mawaziri wakiwa ukumbini
humo wakati wakifuatilia kikao hicho cha
Muumgano kilichoendeshwa na Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (hayupo pichani),
leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar.
Baadhi ya Mawaziri wakiwa ukumbini
humo wakati wakifuatilia kikao hicho cha Muumgano kilichoendeshwa na Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (hayupo pichani),
leo katika Ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort, mjini Zanzibar.
Post a Comment