MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA KIMATAIFA WA SIKU 3 WA AFYA YA MAMA NA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akihutubia wakati wa ufunguzi
Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama
na Mtoto jijini
Arusha.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisalimiana na baadhi ya viongozi
wa Wizara ya Afya na wa Mkoa wa Arusha, wakati alipowasili
kwenye Uwanja wa Ndege wa Arusha kwa
ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa
kuboresha Afya ya Mama na Mtoto
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiongozana na viongozi wa Mkoa wa
Arusha wakati akiwasili kwenye Ukumbi wa Kimataifa wa
Mikutano wa AICC, Jijini Arusha kwa
ajili ya kufungua Mkutano wa Kimataifa wa siku tatu wa
kuboresha Afya ya Mama na Mtoto
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akifurahia burudani ya ngoma ya
asili wakati akiondoka katika ukumbi wa mikutano wa kimataifa
wa AICC baada ya kufungua Mkutano wa
Kimataifa wa siku tatu wa kuboresha Afya ya Mama na
Mtoto
Post a Comment