RAIS KIKWETE AANZA ZIARA YA MKOA WA KILIMANJARO
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Wananchi wa Wilaya ya Same mara baada ya kuwasili Mkoani Kilimanjaro kwa Ziara ya siku nne
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na viongozi mbalimbali na wananchi
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Kilimanjaro tayari kuanza ziara ya siku nne ya Mkoa wa Kilimanjaro akianzia Wilaya
ya Same
Akisalimiana na viongozi
Rais Jakaya Kikwete akiangalia kikundi cha Utamaduni
Viongozi wakiwa wamejipanga kumlaki Rais Jakaya Kikwete
Rais Jakay Kikwete akihutubia
Post a Comment