
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakati wa kuazimisha miaka 50 ya tangu kuanzishwa kwa chuo hicho.

Wanafunzi wa chuo Kikuu cha Dar es Salaam wakimsikiliza Waziri Mkuu, Mizengo Pinda

Waziri Mkuu akizindua rasmi sherehe za miaka 50 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Msanii wa nyimbo,Mrisho Mpoto akitoa burudani wakati wa maadhimisho hayo

Wanafunzi wa kisikiliza wakiwa na Bango lenye ujumbe wa 'Mtoto wa Mkulima tunalala nnje'

Wanafunzi wakisikiliza kwa makini

Wageni waalikwa ,wakufunzi na maprofesa wakisikiliza

Wakisikiliza

Wanafunzi

Wanafunzi

Akizungumza

Wakisikiliza

Waziri wa mambo ya Nje, Bernard Membe akiahidi kukisaidia Chuo Kikuu M.5 @ Mwaka

Wakipiga makofi

Akizindua rasmi miaka 50

Akizindua

Akizindua

Picha ya Pamoja baada ya uzinduzi


Akiwapongeza kwa waliobuni nembo

Akimpongeza mwanafunzi mwingine aliyebuni nembo

Wakimkabidhi zawadi ya vitabu kwa kazi nzuri ya uzinduzi

Mwanafunzi Bora wa Mwaka2010,Salome aliyefanya vizuri kwa kufaulu kwa point 4.7 akitoa shgukrani kwa Waziri baada ya shughuli za uzinduzi wa miaka 50 ya Chuo Kikuu cha UDSM.

Waliobuni nembo wakisikiliza kwa makini.

Wakiteta jambo

Picha ya Pamoja mara baada ya Uzinduzi.

Picha ya pamoja na mwanafunzi Bora Salome wa mwaka 2010.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Mwanafunzi aliyefanya vizuri mwaka 2010,Salome

Mwanafunzi bora wa 2010 aliyepasua kwa 4.7,Sarome.
Post a Comment