
Mkurugenzi wa Kampuni ya Executive Solution, Aggrey Mareale (wa pli kutoka kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa Wateja kulia kwake, Timea Chogo, wakikata utepe jana kuashiria uzinduzi rasmi wa duka la huduma za wateja wa Highlife wa Kampuni ya Zantel, litakalowawezesha wateja kupata huduma hapo. Duka hilo lipo Makao Makuu ya Kampuni hiyo jijini Dar es Salaam. Wengine kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni hiyo, Ikechukwu Kalu na Mkurugenzi Mkuu wa Biashara, Nitish Malik.

Wafanyakazi wa huduma kwa wateja wakiwa ndani ya duka hilo la High life,Adrienne Bonzon (kulia) na montini Tenga

Mfanyakazi wa Zantel

Mkuu wa Biashara, Nitish Malik na Mkuu wa Huduma kwa Wateja Timea Chogo wakifurahia jambo

Mkuu wa mawasiliano akiwakaribisha waandishi wa habari

Wafanyakazi wa Zantel wakiwa na furaha kwa kuzindua huduma hiyo

Wafanyakazi wa Zantel

Wafanyakazi wa Zantel

Mgeni rasmi akizungum,za na waandishi wa habari wakati wa ufunguzi huo.

Wafanyakazi wakisikiliza kwa makini

Ofisa Masoko, Ikechukwu Kalu akizungumza


Head of Segment, Brian Karokola

Akizungumza

Mgeni rasmi akiwaonyesha waandishi wa habari simu aliyoipata bure kutoka Zantel

Mkuu wa Biashara akizungumza

Wakikata utepe

Wakiwa ndani ya Duka hilo

Wahudumu wa vduka la huduma kwa wateja
Post a Comment