
Meneja wa huduma kwa wateja wa Synovete, Jane Meela (kulia) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu tathimini ya vyombo vya habari vilivyoripoti uchaguzi. Mazungumzo hayo yalifanyika kwenye ukumbi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Dar es Salaam jana. Kushoto ni Meneja wa Synovete nchini, Aggrey Orio.

Vombo vya habari vilivyoripoti

Meneja wa Synovete nchini, Aggrey Orio akisisitiza jambo

TV zote zilivyoripoti

Radio zote zilizoripoti

Baadhi ya Vyombo viliripoti mpaka siku ya uchaguzi kinyume cha sheria ya uchaguzi na upendeleo kama hivi
Post a Comment