
Wawakilishi wa wafanyakzi wa Fedha High School wakiwasili New Habari Sinza Dar es Salaam.

Wakitambulishana na wenyeji

Wakitelemsha zawadi ya Nyam kwa ajili ya Siku Kuu ya IDD

Wakitelemsha

Mifuko kibao

Mwakilishi wa Wafanyakazi wa Shule ya Sekondari ya Fedha, Yovuz Yiloiz akimkabidhi zawadi ya Nyama Mkuu wa kitengo cha Usambazaji wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Ben Mhina kwa niaba ya wafanyakazi wa kampuni hiyo kwa ajili ya Siku Kuu ya Idd inayoadhimishwa leo na Waislamu Duniani kote

Wakipeana mikono

Mmoja wa Wafanyakazi, Hamisi Nkotya (kulia) akishukuru

Akishukuru
Post a Comment