
Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ally Choki akiimba

Mnenguaji akilikabil jukwaaa

Oh

Duhhh.

Hii kali....

Wacha we..

Wacha we..

Wanenguaji wakiwajibika jukwaani

Hii ni staili ya Kibajaj

Wako kazini!

Wanaume nao wamo...

Haya sasa..

Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo, Ally Choki (kulia) akicheza sambamba na wanenguaji wake wakati wa onyesho la bendi hiyo lililofanyika kwenye Ukumbi wa Mango Garden, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki

Ally Choki akiwaongoza

Jamani..

Staili ya Vuvuzelaaaaaa

Mh..

Hapo je..
Post a Comment