
Rais wa ‘RPB Oil Industrial Technology Tanzania Limited, Rahma Al-Kharoosi akimkabidhi msaada wa Shilingi Milioni nne mratibu wa Bonanza la Watoto Yatima, Osman Kazi linalotarajiwa kufanyika mwishoni mwa wiki kwenye Viwanja vya Leaders lililoandaliwa na Popular Sports and Entertainment Tanzania kusherehekea siku Kuu ya Idd.

Rais wa ‘RPB Oil Industrial Technology Tanzania Limited, Rahma Al-Kharoosi akizungumza na wandishi wa habari

Mratibu wa Bonanza la Popula Sports and Entertainment, Osman Kazi

Mratibu wa Bonanza la watoto yatima, Osman Kazi akizungumza na waandishi wa habri

Mama Rahma akizungumza

Mwenyekiti wa vituo vya kulelea Watoto Yatima vya Dar es Salaam akishukuru

Picha ya Pamoja na baadhi ya Watoto Yatima

Mlezi wa Watoto Yatima,Mama Aminaja Kilemia akishukuru


Mlezi wa Kituo cha Hananasifu,Joan Matee akishukuru

Mmoja wa Watoto Yatima Gustaf Onesmo akishukuru

Mama Rahma akizungumza

Picha ya Pamoja
Post a Comment