ad

ad

WASOMI WAFANYA MDAHALO CHUO KIKUU KUADHIMISHA NYERERE DAY.

Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Joseph Butiku, akizungumza kwenye mdahalo wa wanazuoni uliofanyika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, wakati wa maadhimisho ya siku ya kumbukumbu ya Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, yaliyofanyika chuoni hapo
Wanazuoni na wanafunzi wakifuatilia mada mbalimbali wakati wa mdahalo huo
Aliyekuwa Makamu Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Profesa Mathew Luhanga, akichangia mada wakati wa mdahalo wa maadhimisho hayo.
Wanazuoni wakisikiliza
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha SAUTI Mwanza, Profesa Mwesiga Baregu, akiwasilisha mada wakati wa maadhimisho hayo.
Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Azaveli Rweitama, akiwakisisha mada wakati wa maadhimisho hayo.

No comments