
Mgombea Udiwani wa Kata ya Makumbusho kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Ally Haroub, akiwahutubia wakazi wa Kata ya Makumbusho eneo la Mwananyamala Mwinjuma, wakati akifanya kampeni ya kuomba kura Dar es Salaam

Wakazi wa Kata ya Makumbusho wakimsikiliza mgombea udiwani, Ally Haroub kupitia Chama cha Wananchi (CUF), eneo la Mwananyamala Mwinjuma, wakati akifanya kampeni ya kuomba kura Dar es Salaam

Umati wa watu ukimsikiliza Mgombea huyo

Duh,watu wamefurika

Wako makini..

Mgombea Udiwani Kata ya Makumbusho akinadiwa

Duh hawa hawana utani kweli wanataka mabadiliko

Mgombea akimwaga sera

Meza kuu ikimsikiliza Mgombea.

Dereva wa pikipiki akiwa amepakia abiria wawili kinyume cha sheria na abiria kutokujali usalama wao maeneo ya Magomeni, Dar es Salaam
Post a Comment