MGOMBEA UDIWANI KATA YA MIKOCHENI AHIDI KUIPIGA TAFU MICHEZO.
MWENDA KUPIGA TAFU MICHEZO.
Mgombea Udiwani wa Kata ya Mikocheni Jimbo la Kawe jijini Dar es Salaam, Yusuph Mwenda ameahidi kuendeleza sekta ya michezo katika kata yake na Wilaya nzima ya Kinondoni.
Akizungumza na Gazeti hili jana nyumbani kwake alisema amekuwa mstari wa mbele katika kuibua na kukuza vipaji vya michezo kwa vijana hata kabla ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kugombea udiwani kata ya Mikocheni,lakini sasa ni muda muafaka way eye kujikita katika sekta hiyo kwa undani zaidi endapo wananchi wa Mikocheni wanampa rdhaa ya kiongoza Mikocheni kama Diwani
Alisema Mwenda kitu cha kwanza kabisa ataanza na kuboresha viwanja vya shule za Msingi na kuviweka katika hali nzuri ya kisasa ili upande wa soka pasiwe na tatizo na pia ameahidi kuibua na kuendeleza michezo mingine kama netiboli mpira wa miguu wanawake,vollebol,Ba sketboll na mingene mingi yenye kwafanya vijana wawe na dira nzuri ya maisha ukuzingatia kwa sasa michezi ni ajira.
Mikakati yote hii ya kuboresha michezo inahitaji ushirikiano wa jamii nzima ya wana mikocheni pamoja na wadau wa michezo ambao anaamini kupitia wao yote yanawezekana hivyo anaomba ridhaa yao wamchague ili aweze kutekeleza hayo yote alisema Mwenda.
Kata ya Mikoheni ilikuwa inaongozwa na Diwani, Harold Maruma ambaye pia alimsifia Mgombea huyo na kuwaomba wakazi wa Mikocheni wamchague kwani ni kijana shupavu na anaamini ataleta mabadiliko Mikocheni

Post a Comment