

Washindi wakiweka sahihi kabla ya Hamisi kuwakabidhi pesa zao

Hamisi ma SMS (kulia) akimkabidhi Sh milioni moja Sammy Mwatuka, mkazi wa Wazo Hill, Dar es Salaam, baada ya kuibuka mshindi kwenye promosheni ya Hamis ma SMS, inayoendeshwa na Kampuni ya Simu ya Zantel.

Msindi wa pili aliyejinyakulia Sh.milioni moja Venant Alex kushoto.

Msindi wa tatu ni Patrick Cyprilian kushoto naye kajinyakulia Sh.milioni moja.
Post a Comment