
Msusi anayejulikana kwa jina la John wa Saluni ya jinsinsia ya Kkike iliyopo Kagera Standi jijini Dar es Salaam akimwandaa Bibi Harusi Mtarajiwa, Aisha kwenda kwenye Kitchen Party yake iliyofanyika kwenye Ukumbi wa Lulu Sinza Dar es Salaam.

Bi Aisha akiandaliwa

Msusi, John yuko makini na kazi yake...

Msusi John na Bi harusi Aisha wakiwa kwenye pozi mara baada ya kazi hiyo kumalizika

Aisha akiwa kwenye pozi.

Aisha

Aisha akiwa na uso wa furaha.

Akiwa Ukumbini Lulu
Post a Comment