ad

ad

RAIS WA KAMPUNI YA RBP-OIL NA TEKINOLOJIA YA VIWANDA ATOA MSAADA WA MILIONI TANO KWA KWAYA YA WATOTO YATIMA

Rais wa Kampuni ya RBP Oil and Industrial Technology, Rahma al Kharoosi, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchangia Sh milioni tano kwa watoto yatima wanaotarajiwa kuzindua albamu yao ya ‘Nibadilishe’ hivi karibuni kwenye hafla fupi iliyofanyika Coco Beach, Dar es Salaam jana.
Rais wa Kampuni ya RBP Oil and Industrial Technology, Rahma al Kharoosi, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuchangia Sh milioni tano kwa watoto yatima wanaotarajiwa kuzindua albamu yao ya ‘Nibadilishe’ hivi karibuni kwenye hafla fupi iliyofanyika Coco Beach, Dar es Salaam jana. Kushoto ni Mkurugenzi wa kituo hicho, Hezekia Mwalugaja.

Mkurugenzi wa kituo hicho, Hezekia Mwalugaja akishykuru.
Watoto Yatima wakiimmba mbele ya mfadhili wao.
Akizungumza
Watoto yatima wa Kituo cha Hocet kilichopo Kinondoni, Dar es Salaam, wakifurahi na mfadhili wao, Rahma al Kharoosi, baada ya kuwapa msaada wa Sh milioni tano ili kufanikisha uzinduzi wa albamu yao ya nyimbo za dini, wanayotarajia kuizindua hivi karibuni. Hafla ya makabidhiano ilifanyika Coco Beach, Dar es Salaam jana

Wakkimba

No comments