
Meneja wa Kinywaji cha Redd's,Kabula Nshimo akizungumza na warembo wa Redd's Miss Tanzania walipokuwa wametembelea Kiwanda cha TBL ambamo pia panazalishwa kinywaji cha Redd's kikiwa ni moja ya wazamini wakuu ili kujifunza mambo mbalimbali yanayofanywa na ndani ya Kiwanda hicho pamoja na kumuandaa Balozi wa Kinywaji hicho anayetarajiwa kuvishwa taji Septembaer 3,2010 jijini Dar es Salaam

Miss Tanzaniaanayemaliza muda wake pamoja na Warembo wengine wakimsikiliza Meneja wa Kinywaji cha Redd's.

Wakinukuu mambo muhimu.








Meneja Usalama,Renatus Nyanda akizungumza na Warembo kabla ya kutembelea kiwanda mambo muhimu yanayohusu usalama.

Nyanda anaendelea kunena




Ofisa Uhusiano wa TBL,Editha Mushi akizungumza na Warembo mambo mengine ambayo TBL inayafanya kwa jamii.

Meneja wa Kinywaji cha Redd's,Kabula Nshimo akizungumza na Warembo.

Meneja wa Kinywaji cha Redd's,Kabula Nshimo akizungumza na Waandishi wa Habari.

Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya TBL,Editha Mshi akizungumza na waandishi wa habari

Meneja Usalama wa Kampuni ya Bia ya TBL,akiwaonyesha namna ya kuzimamoto kwa kutumia vifaa maalum.



Ofisa Usalama wa Kampuni ya Bia ya TBL,ismail Kalema akiwaonyesha kwa vitendo Warembo namna ya kuzima moto kwa kutumia vifaa maalum.

Warembo wakizima moto

Wakizima

Wakiziiiiiiimaaaaaaaaa

Wanazimaaaaaaaaaaaaa

Warembo wakelekea kiwandani ndani



Mpishi wa Bia,Tumaini Mosses akiwaelekeza walembo sehemu vimea vinaposhanganywa


Mpishi,Tumaini akiwaelekeza Warembo wanavyochanganya kwa kutumia Kompyuta.


Mpishi wa Bia,Tumaini Mosses akiwaelekeza warembo sehemu ya Maabara

Tumaini akiwaelekeza mahara ambapo bia hupoa na tayari kwa kutumiwa kama Pombe baada ya siku 14.


Hii ndio hali ya Usafi wa Kiwanda cha Bia cha TBL kuhakikisha mtumiaji anapata kilichoBora na Salama.

Nipasafi kupita maelezo,unaweza hata kulala,hakuna harufu.

Sasa wanaingia sehemu ya kupakia Bia (Parkeging)



Hiyo ni mitambo ya kupakia Bia


Warembo wakielekezwa kazi mbalimbali zinazofanywa na mitambo



Bia zikiwa tayari zimeshafunikwa zikielekea kwenye Makreti


Warembo 30 wanaowania Ubalozi wa Redd's 2010-2011 wakiwa kwenye Picha ya Pamoja.


Warembo wakipata mlo wa mchana ndani ya Kiwanda









Post a Comment