Mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ,Dr.Wilbroad Slaa akiwahutubia wakazi wa Jijini Da es Salaam wakati wa ufunguzi maalum wa Kampeni za Uchaguzi kwa chama hicho uliofanyika Jangwani Dar es Salaam.
Wakazi wa Dar es Salaam wakimsubili Slaa kwa hamu
Dr Slaa akiwasili viwanja vya Jangwani
Slaa kama Yesu....
Dr.Slaa akiwapungia mkono wakazi wa jijini waliofika jangwani kumsikiliza
Dr,Slaa akisalimiana na Mgombea mwenza
Dr.Slaa akisalimiana na Mwenyekiti wake Mboe
Muasoisi wa Chama hicho akisalimia wananchi,Bob Makani
Mtangazaji wa TBC akiangusha kilio baada ya wanainchi kumzonga kwa kutorusha matangazo moja kwa moja
Mmoja wa wakazi wa jijini aliyetuhumiwa kuanza kumshambulia mtangazaji huyo.
Malinyi Hassani katikati ya wananchi na askari
Wananchi wakiwa juu ya mti kusikiliza sera za Chadema
Post a Comment