
Kocha Mpya wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Twiga Stars,Simone Macknis kutoka Austraria amewassili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere leo Dar es Salaam.

Kocha Mpya wa timu ya Taifa ya Wanawake ya Twiga Stars,Simone Macknis (wa pili kutoka kushoto) kutoka Austraria amewassili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julias Nyerere leo Dar es Salaam.Kulia kwake ni Mwenyekiti wa CHANETA,Anna Bayi,Mweka Hazina,Frola Mwakemele na Kaptani wa timu hiyo,Jacquline Sikozi.

Wakiwasili

Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kuwasili.

Akielekea kwenye gali walilomwandalia

Kocha mpya akiwa kwenye pozi na ua lake.
Post a Comment