Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abbas Tarimba (kushoto), akimkabidhi leseni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Winlot (T) Limited, Kamlesh Vijay, ya kuendesha michezo hiyo kuanzia Mei 2011. Hafla ya makabidhiano ilifanyika kwenye Hoteli ya Holiday Inn, Dar es Salam

Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Michezo ya Kubahatisha nchini, Abbas Tarimba (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari.

Abbas akizungumza.

Post a Comment