ad

ad

LONGMAN KUWANOA WAALIMU WA AWALI.

Mkufunzi wa walimu wa wanafunzi wa awali, Marim Elloken kutoka Afrika Kusini, akiwaelekeza walimu namna ya kutumia ala za ngoma katika kuwafundisha watoto wakati wa mafunzo ya siku tatu yanayoendelea jijini Dar es Salaam yaliyoandaliwa na Longman Tanzania kwa kushirikiana na Mradi wa Vitabu wa Tinga Tinga
Wawezeshaji wa mafunzo ya waalimu wa watoto wanaosoma awali wakitoa maelekezo na mbinu mbalimbali zakufundisha.
Mkufunzi wa walimu wa wanafunzi wa awali, Marim Elloken kutoka Afrika Kusini, akifwafundisha waalimu mbinu mbalimbali za kutumia katika kuwafundisha watoto wakati wa mafunzo ya siku tatu yanayoendelea jijini Dar es Salaam.
Mwezeshaji Rosemary Njiru akiwaelekeja jambo waalimu
Wakiimba kwa kutumia ala za muziki.





Mkufunzi wa walimu wa wanafunzi wa awali, Marim Elloken kutoka Afrika Kusini, akiwaelekeza walimu namna ya kutumia ala za ngoma katika kuwafundisha watoto wakati wa mafunzo ya siku tatu yanayoendelea jijini Dar es Salaam.

No comments