ad

ad

ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI YA KUTEMBELEA MIRADIILIYOFADHILIWA NA HEIFER PROJECT INTERNATIONAL-HAPA NI UFUGAJI WA NGAMIA WA KIKUNDI CHA KAPASHE -SAME

Mchungaji wa Ngania Geofrey Shegere akiwaongoza Ngamia kwenda kuchota maji ikiwa ni moja ya kazi ambazo mnyama huyo hufanya.
Viongozi wa HEIFER na waandishi wa habari wakitambulishana na wanakikundi wa Kapashe wa Wilayani Same

Geofrey akielekea kuchota maji


Anakwenda kuchota maji

Viongozi wakitambulishana,kutoka kulia ni Mwenyekiti wa kikundi cha Kapashe,Paul Mtai,Ofisa mifugo na mtumishi wa wilaya ya Same,Steven Kihogo,Evod Banzi na Naibu Mkurugenzi wa HEIFER,Alfred Futte
Wakirudi kuchota maji

Ngamia wakipiga magoti iliwashuke waliopanda

Katibu wa kikundi akimuomba Ngamia apige magoti ili washushe maji








Mama akimuandaa Ngamia kumkamua maziwa

Mama anakamua maziwa ya Ngamia


Katibu akiwaonyesha mafuta ya NGAMIA




Wakionja maziwa ya NGAMIA

Mbuni

No comments