KIKUNDI CHA TUNAPENDANA WAMASAI CHA UFUGAJI WA NGAMIA KITONGOJI CHA PARMANJA WILAYANI LONGIDO MANYARA.
Boma la Mzee Paul Sadida ambaye ni mlezi wa Kikundi cha Tunapendana,Kikundi kina jumla ya wanachama 30 na wanajumla ya Ngamia 38.
Getini kwa Boma hilo Longodo.
Getini kwa Boma hilo Longodo.
Mbuzi wa Mlezi wa Kikundi Paul Sadida.
Mbuzi wakiandaliwa kuelekea malishoni.
Mbuzi wakielekea malihoni.
Watoto wakimasai wakaiwa katika hali hiyo asubuhi baridi kali.
Watoto hao wakiwa pembeni mwa mojaya nyumba yao iliyojengwa kwa mavi ya Ng'ombe.
Mama wa Kimasai akiwa amembeba mwanae.
Watoto wa Kimasai wakimshangaa mpigapicha asubuhi baridi kali sana wakiwa katika hali hiyo.
Naibu Mkurugenzi wa HEIFER Project International,Alfred Futte {kulia} na DCD,Evod Banzi wakiteta jambo.
Mama Mlezi wa Kikundi cha Tupendane cha Wamasai wanaofuga Ngamia akiwaandalia waandishi wa habari na viongozi wa Heifer maziwa ya Ngamia walipotembelea kujua maaendeleo ya mradi huo Parmanja Longido Mara.
Nyumba za Kimasai wanazoishi za familia ya MR & MRS Paul Sadida wanaojishughulisha na Ufugaji wa Ngamia.
Hao ni baadhi ya Ndama/Mitamba ya Ngamia.
Mitamba ya Ngamia ikiwa Zizini.
Ngamia wa kikundi cha TUPENDANE Parmanja Longido Mara wanaofugwa kwa ufadhili wa Heifer Project International.
Ngamia wa kikundi cha TUPENDANE Parmanja Longido Mara wanaofugwa kwa ufadhili wa Heifer Project International.
Mwandishi mwandamizi wa ITV/Radio One,Shabani Tolle akiwa kwenye posi wakati wa ziara ya kutembelea miradi mbalimbali iliyofadhiliwa na Heifer Parmanja Longido.
Post a Comment