Kutoka
kushoto ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Kabula Nshimo,
Meneja Masoko ,Habari ,Udhamini na Promosheni kwa wateja, George Kavishe,
Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt, Warda Kimaro na Meneja Habari tbl, David
Tarimo wakionyesha kiti cha “Jgwara” (Jumatano) kuashiria uzinduzi wa
Promosheni ya Safari Lager kwenye kituo cha daladala cha Moroco Dar es Salaam
jana ambapo abiria wataweza kujishindia Bia ya Safari lager kila jumatano.
Meneja wa
Bia ya Safari Lager, Kabula Nshimo(kushoto),akizungumza na waandishi wa habari
(hawapo pichani) wakati wa uzinduzi wa promosheni Safari Lager ya
“Jgwara”(jumatano) katika kituo cha daladala cha Moroko
jijini Dar es Salaam chenye kumuwezesha mteja kujishindia bia akikaa pale.Kulia
ni Meneja Masoko ,Habari, Udhamini na promosheni kwa wateja, George Kavishe.
Meneja wa
Bia ya Safari Lager, Kabula Nshimo(kushoto), akiwaonyesha Meneja Masoko,Habari, Udhamini na promosheni
kwa wateja, George Kavishe na Meneja Habari wa Tbl, Davidi Tarimo, namna ya
kujaza taarifa zako mara baada ya kujishindia bia ya Safari Lager mara baada ya
uzi nduzi uliofanyika katika kituo cha Moroko jijini Dar es Salaam jana.
Meneja wa
Bia ya Safari Lager, Kabula Nshimo(kushoto),akizungumza na waandishi wa habari wakati
wa uzinduzi wa promosheni Safari Lager ya “Jgwara”(jumatano)
katika kituo cha daladala cha Moroko jijini Dar es Salaam chenye kumuwezesha
mteja kujishindia bia akikaa pale.
Post a Comment