JUMUIA YA KIHINDI YA KALAMANDALAM YA TOA MSAADA KWA SHULE YA MSINGI ZANAKI JIJINI DAR ES SALAAM.
Katibu
msaidizi wa Balozi wa India
nchini(Second Secretary of High Commission of India), Amalendu Mahapatri
(katikati) akikata utepe kuashiria uzinduzi wa madarasa mawili ya darasa la
saba katika Shule ya Msingi Zanaki kwa msaada wa jumuia ya Kihindi ya Kalamandalam
waishio nchini Tanzania.Jumuia hiyo ilitoa msaada wa Ukarabati wa madarasa
mawili,Vyoo,Mbao za kufundishia,Makabati,enka za mabegi na ununuzi wamadawadi.Kulia
ni Mwanachama wa taasisi hiyo na Meneja Mlimani City, Gilish Kumar na Mwenyekiti
wa taasisi hiyo, Sam Idicula.
Katibu
msaidizi wa Balozi wa India
nchini(Second Secretary of High Commission of India), Amalendu Mahapatri
(kulia) akimkabidhi Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Zanaki, Radhia Mfalingundi
madawadi na ukarabati wa madarasa na
vyoo ikiwa ni msaada uliotolewa na taasisi ya Kihindi ya Kalamandalam nchini
Tanzania.Makabidhiano hayo yalifanyika Dar es Salaam leo.
Baadhi ya
wanafunzi wakiweka mabegi yao ya madaftari katika enka maalumu zilizotolewa na
taasisi ya Kihindi ya Kalamandalam nchini Tanzania .
Picha ya
Pamoja mara baada ya makabidhiano.
Post a Comment