WANAFUNZI KUTOKA VYUO MBALIMBALI WATEMBELEA KONGAMANO LA NNELA WADAU WA SIMU ZA MIKONONI
Meneja
Masoko wa Kampuni ya Huawei Afrika Kusini, Ian Ellis akizungumza na Wanafunzi
kutoka vyuo mbalimbali walipotembelea Kontena maalumu kujifunza mambo ya
Sayansi Tekinolojia wakati wa maonyesho ya nne ya wadau wa Simu za mkononi katika
ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Meneja
Masoko wa Kampuni ya Huawei Afrika Kusini, Jeo Zhao akizungumza na Wanafunzi
kutoka vyuo mbalimbali walipotembelea Kontena maalumu kujifunza mambo ya
Tekinolojia katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Post a Comment