SUPER D KUWAKUTANISHA MFAUME MFAUME NA JONAS SEGU AGOST 21 TAIFA
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na mabondia Mfaume Mfaume kushoto na Jonas Segu baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Agost 21 katika uwanja wa ndani Wa Taifa
Post a Comment