LIGI ya ng'ombe cup imeimalizika kwa atua ya kwanza baada ya kumalizika mchezo wa mpira wa miguu baina ya jah fc na bayani fc ambapo katika matoke bayani ilibuka na ushindi wa magoli 2.0 matokeo hayo yameifanya bayani kutinga 8 boraaaa ambapo imeungana na timu za rhino,utende fc,bayan,mfuluni,killas
,jah fc, pince boys, na potwe fc mashindano hayo yataendelea tena jumatatu taharifa hii kwa niaba ya mwenyekiti wa mashindano ya ngo'ombe cup mafia kisiwani
mashindano hayo yanafanyika dawe ndege wilayani kilindoni mafia mkoa wa pwani na kudhaminiwa na dawani wa halmashauli wilaya Msomi Ally Kuku
Post a Comment