KAMPUNI YA BIMA YA AFYA YA RESOLUTION YAANDHIMISHA SIKU YA FAMILIA KWA WAFANYAKAZI NA WATEJA WAKE.
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Resolution Insurance, Oscar Osir(katikati) akikata keki wakati wa
hafla ya kampuni hiyo kwa wafanyakazi na wateja iliyofanyika Viwanja vya Posta
jijini Dar es Salaam.
Hilari
Salehe(kushoto) akijaribu kuwatoka Abdalah Abdul (kulia) na Paul Kavishe wakati
wa hafla kwa nafamilia wa Resolution Insurance(Bima ya Afya) iliyofanyika
katika Viwanja vya Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Baadhi zya
washiriki wa mbio za Magunia wakijiandaa kushindana wakati wa wa hafla kwa
nafamilia wa Resolution Insurance(Bima ya Afya) iliyofanyika katika Viwanja vya
Posta Kijitonyama jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Robert Kishiki
alishinda mbio hizo.

washiriki wa mbio za Magunia wakishindana wakati wa wa hafla kwa nafamilia wa
Resolution Insurance(Bima ya Afya) iliyofanyika katika Viwanja vya Posta
Kijitonyama jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Robert Kishiki alishinda
mbio hizo.

Wafanyakazi
wa Resolution Insurance wakiwaburuza wateja wakati wa mpambano wa kuvuta kamaba
baina ya wafanyakazi wa kampuni hiyo na wateja uliofanyika viwanja vya
kijitonyama jijini Dar es Salaam mwioshoni mwa wiki.Wafanyakazi wa Resolution
Insurance walishinda.
Post a Comment