MWANALYAKU-MWANZA MABINGWA BALIMI NGOMA KANDA YA ZIWA 2013.
Mabingwa wa Mashindano ya Ngoma Kanda ya Ziwa yanayojulikana kwa Balimi Ngoma Festival 2013,kikundi cha Mwanalyaku kutoka Wilani Magu Mkoani Mwanza wakishangilia na Kombe mara baada ya kuibuka mabingwa katika mashindano hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Polisi Mabatini jijini Mwanza mwishoni mwa wiki.
Mpiga Ngoma kutoka kikundi cha Mwanalyaku cha Magu Mkoani Mwanza akipiga Ngoma kwa hisia kali.
bBaadhi ya wakazi wa jiji la Mwanza wakishuhudia fainali za mashindano ya ngoma Kanda ya Ziwa zilizojumuisha vikundi 10 kutoka Mikoa 5 ya Kanda ya Ziwa, Tabora,Shinyanga,Kagera,Mara na Mwanza
Kundi la Ngoma la Egumba kutoa Mara wakicheza
Kundi la Ngoma la Magereza kutoka Tabora wakicheza
Kundi la Ngoma la Magereza kutoka Tabora wakicheza wakati wa fainali hizo
Kundi la Ngoma la Mwanajilungu kutoka Shinyanga wakicheza
Mpiga Ngoma wa Kundi la Mwanalyaku kutoka Magu ambao waliibuka mabingwa katika fainali hizo akitamba
Meza Kuu wakishuhudia fainali za mashindano hayo
Baadhi ya wakazi wa Mwanza wakishuhudia fainali hizo zililizokuwa za kusisimua
Kundi la Ngoma la Mwanajilungu wakionyesha umahili wao wa kucheza wakati wa fainali hizo
Kundi la Egumba wakionyesha mambo yao
Kundi la Mwanalyaku wakionyesha umahili wa kucheza na nyoka
Hao ni Kundi la Mwanalyaku kutoka Magu Mwanza
Hwa jamaa balaa
Kundi la Egumba kutoka Maara
Kundi la Rugu kutoka Kagera wakionyesha mabo yao
Kundi laRugu kagera wakicheza
Rugu Kagera wakionyesha mambo yao
Duh
Kiongozi wa Kundi la Mabuloh ya Jeshi kutoka Mkoa wa Shinyanga wakifanya vitu vyao
Hao ndio mabuloh ya Jeshi ndani ya Uwanja wakitoa shoo
Kundi la Ngoma la Abagambakamo kutoka Kagera wakicheza
Duh hao ndio Mabuloh ya Jeshi kutoka Shinyanga ambao walitoa burudani ambayo kila mtu alifurahi
Mabuloh ya Jeshi hao-Shinyanga
Ngoma ya Litungu ikiwapagawisha wakazi wa Mara wakati wa fainali hizo
Balaaa
Watu lukuki wakiwa wamejaa kushuhudia mashindano
Umati wa watu wengi wakishuhudia fainali za mashindano ya Balimi Ngoma Kaanda ya Ziwa 2013.
Mabingwa wa mashindano ya Balimi Ngoma Kanda ya ziwa 2013,Kikundi cha Mwanalyaku kutoka Wilayani Magu jijini Mwanza wakitoa shukrani kwa shoo maalumu ya kucheza na nyoka wawili
Post a Comment