EXTRA BONGO WAENDELEZA UBABE JIJINI DAR ES SALAAM
Muimbaji
wa Bendi ya Extra Bongo, Redo Mauzo (kushoto) akicheza samamba na wacheza shoo
wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika
Viwanja vya Garden Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam
Muimbaji
wa Bendi ya Extra Bongo, Redo Mauzo (kushoto) akicheza samamba na wacheza shoo
wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika
Viwanja vya Garden Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam
Kiongozi
wa wacheza shoo wa Extra Bongo, Super Nyamwela akicheza wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Viwanja vya
Garden Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam
Mcheza
shoo wa Bendi ya Extra Bongo,Isack Danger Boy akicheza wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Viwanja vya Garden
Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam
Muimbaji
wa Bendi ya Extra Bongo, Redo Mauzo akiimba wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Viwanja vya
Garden Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam
Mcheza
shoo wa Bendi ya Extra Bongo,Isack Danger Boy akicheza wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Viwanja vya Garden
Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam
Muimbanji
wa Bendi ya Extra Bongo, Banza Stone akicheza sambamba na wacheza shoo wakati
wa onyesho la Bendi hiyo katika Viwanja vya Garden Breeze Magomeni jijini Dar
es Salaam
Muimbanji
wa Bendi ya Extra Bongo, Banza Stone akicheza sambamba na wacheza shoo wakati
wa onyesho la Bendi hiyo katika Viwanja vya Garden Breeze Magomeni jijini Dar
es Salaam
Rapa
wa Extra Bongo,Frank Kabatano akicheza zambamba na mcheza wakati wa onyesho la
Bendi hiyo katika Viwanja vya Garden Breeze Magomeni jijini Dar es Salaam
Rapa
wa Extra Bongo,Frank Kabatano akicheza sambamba na wacheza shoo wakati wa
onyesho la Bendi hiyo katika Viwanja vya Garden Breeze Magomeni jijini Dar es
Salaam
Rapa
wa Extra Bongo,Frank Kabatano(kushoto) akiimba sambamba na mpiga Bass, Hoseah
Mgoachi wakati wa onyesho la Bendi hiyo katika Viwanja vya Garden Breeze
Magomeni jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi wa Bendi ya Extra Bongo akisikilizia Solo na mpigaji wa Bendi hiyo, Joshua Solo wakati wa onyesho hilo Magomeni mwishoni mwa wiki.
Post a Comment