DANEL NA NEEMA WAFUNGA PINGU ZA MAISHA
Mfanyakazi wa Kampuni ya Integreted Communications,Daniel Lema akiwa na Mke wake Mpendwa Neema wakati wa hafla ya kuwapongeza iliyofanyka katika Ukumbi wa Kiramuu Mbezi Beach jijini Dar es Salaam
Wafanyakazi wenzake Bwana Harusi, Daniel Lema wakicheza pamoja wakati wa hafla hiyo
Daniel na Neema wakifungua mziki
Marafiki wa Daniel Lema wakimbeba rafiki yao
Bwana Harusi Daniel Lema na Mke wake Mpendwa Neewa wakiwa katika picha na pamoja na wapambe wao
Post a Comment