SAMSUNG WAZINDUA SIMU MPYA YA GALAXY MUSIC
Meneja
mauzo na usambazaji wa Samsung, Syrivester Manyara akizungumza na waandishi wa
habari wakati wa uzinduzi wa Simu za Samsung
Galaxy Music uliofanyika Dar es
Salaam
Meneja
mauzo na usambazaji wa Samsung, Syrivester Manyara akizungumza na waandishi wa
habari wakati wa uzinduzi wa Simu za Samsung
Galaxy Music uliofanyika Dar es
Salaam
Meneja mauzo na usambazaji wa Samsung, Syrivester Manyara
(kulia) akimkabidhi Simu ya Samsung Galaxy Music Mwandishi wa habari wa Clouds Tv ,Rachel
Chizoza mara baada ya kushinda droo ilichezeshwa kwa waandishi wa habari wa
kike.
Meneja mauzo na usambazaji wa Samsung, Syrivester Manyara
(kulia) akimkabidhi Simu ya Samsung Galaxy Music Mwandishi wa habari wa Clouds Tv ,Abdalah
Kamelo mara baada ya kushinda droo ilichezeshwa kwa waandishi wa habari wa
kiume.
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Kampala, Flora
Joseph akielezea ubora wa simu ya Samsung Galaxy Music
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ardhi, Beatus Rongo akiielezea
simu hiyo
Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Hamza Vesso akiielezea simu ya Samsung Galaxy Music
Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha cha IFM, Godfrey Mwita akieleza namna ya kutambua simu ya Samsung kama ni Original.
Mwanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha cha IFM, Godfrey Mwita akieleza namna ya kutambua simu ya Samsung kama ni Original.
Wakizionyesha simu hizo kwa pamoja
Post a Comment