Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole jijini Addis
Ababa, Ethiopia, leo Februari 23, 2013 kuhudhuria utiwaji saini Mpango wa Umoja
wa Mataifa wa Amani, Usalama na Ushirikiano katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya
Kongo (DRC).
Post a Comment