MWAKA 2013 NI MWAKA WA MABADILIKO KATIKA TASNIA YA SANAA-STEVEN NYERERE
Na Elizabeth John
“Sanaa inalipa sana lakini wasanii wenyewe hatupo makini na kile tunachokifanya ndio maan ahatupigi hatua, nchi kama Kenya au Nigeria wasanii wanafaidika na kazi zao kwasababu wapo makini na wanajua wanachokifanya,”

MSANII wa
vichekesho nchini, Steven Mengele ‘Steve Nyerere’ amesema mwaka 2013 amepania
kuleta mabadiliko katika tasnia ya sanaa hapa nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam, Steve
Nyerere alisema Tanzania tupo nyuma sana katika sanaa kuliko nchi nyingine
hivyo yeye amejipanga kuleta mabadiliko.
“Sanaa inalipa sana lakini wasanii wenyewe
hatupo makini na kile tunachokifanya ndio maan ahatupigi hatua, nchi kama Kenya
au Niger wasanii wanafaidika na kazi zao kwasababu wapo makini na wanajua
wanachokifanya,” alisema Steve Nyerere.
Alisema anawashukuru Watanzania kwa kumpokea
vizuri katika sanaa, ikiwa ni pamoja na kuzipokea vizuri kazi zake na kuwataka
wapenzi wa burudani kukaa mkao wa kula kwaajili ya kuzipokea kazi zake
nyingine.
You might also like:
Post a Comment